MFAHAMU SIMBA MYAMA WA PORI
Simba ni myama mpole lakini hatari Sana ukimchokoza Simba ni myama wa porini jamii ya paka,Simba huishi kwa makundi yasiopungua Simba 7 na wakiongozwa na dume moja tawala kwaajili ya kutete himaya ama eneo wanapopatikana kulinda Simba dume kutoka kundi lingine kuingia kwenye himaya hiyo Simba hike ndo mwindaji kwenye kundi wakati Simba dume hulinda malindo pia dume huanza kula baada ya Simba jike kuwinda na hunza kula vya ndani baada ya hapo Simba jike humalizia kula na watoto na Kama lindo Hilo litabaki Simba dume anajukumu la kulinda lindo Hilo dhidi ya wanyama wengine -Tofauti Kati ya Simba dume na Simba jike Simba dume anamanyoya shingoni wakati Simba jike Hana Simba dume ni mkubwa kiumbo ulilinganusha na Simba wa kike Simba wanauwezo wa kuishi miaka 20 wakiwa msituni especially Simba jike na Simba dume huahindwa kufikisha miaka hyo kwaajili ya majeraha anayoyapaata wakati wa kugombania himaya yake Kwaa taarifa za wanyama wengine endelea kufuatilia website hii real...
Comments
Post a Comment